PSG YAANZA KUMCHANGANYA MPAPE, DIRISHA LA CHINA KUFUGWA IJUMAA NANI KASAJILIWA NINI LAIKUMBUKA CHINA ?

Klabu ya PSG imetoa ofa kwa kinda wa Monaco kwa kumuahidi kumlipa kiasi cha pauni 200,000, kutoka 16,000 anayolipwa kwa wiki Monaco ,klabu za China zimeshidwa kusajili baada ya kodi kupanda hadi  100% inatarajiwa dirisha linafugwa ijumaa majina yote yaliyokuwa yanatamba kwa sasa yametulia katika ukanda huo unadhani kupadishwa kwa kodi ndo kumesababisha kutofankiwa kwa kusajili majina makubwa ? Mimi nasema ndio maana kabda ya kodi hiyo waliongoa majina makubwa ulaya na kunguneko tutarajie utulivu wa usajili katika kanda hiyo.....

Everton yatangaza kumpa namba 10 Wayne Rooney , Antony Rudiger karithi namba ya Ivanovic 2

Maoni