PSG WAKARIBISHA MGENI , MAN UTD BADO KIDOGO KUWEKA JEMBE ,

Klabu ya Ufaransa Paris st German inaweza ikakamilisha uhamisho wa mlinzi wa zamani wa Juventus na Barcelona Dan Alves ndani ya saa 48 wakati mazungumzo yako patamu tukiachana na Man city wanaofikiria bado wanao

Mazungumzo kati ya Man united na Inter Milan yanazidi  kuwa mazuri huenda mchezaji huyo akajiunga na united ambapo Inter Milan bado anahitaji  £48 milioni

.kiungo wa Brazil Paulinho ina aminika anataka kutumua nguvu ili auzwe Barca akitokea timu ya China  ofa ya £20M ilikataliwa 

Maoni