Per Metercher sasa kafunguka ...sasa kama kocha na msimu wake wa mwisho

Per metasacher kasema msimu huu atakuwa kocha wa academy pia ni msimu wake wa mwisho kama mchezaji ndani ya ujumbe wake amethibitisha alitaka kustaafu 2014 ila akaendelea sasa yambidi per amekuwa akisumbuliwa na majerahaa msimu uliopita amesisitiza kuitumikia kwa moyo klabu yake nahodha huyo kwa kuanza kuitumikia arsenal academy

Maoni