NYUZI MPYA ZA NIKE NI TISHIIOOOO

Kampuni ya vifaa vya michezo ya nike ambayo ina tengeneza jezi za timu mbali mbali ikiwemo Atletico Madrid. Uzi mpya wa atletico utakua kati ya jezi zenye mvuto kati ya zile zinazotengenezwa na Nike.

Pia kampuni hio inaonesha kutishia sanaa katika soko hili la mavazi ya kimichezo baada ya kuzindua jezi za timu mbali mbali zikiwa katika muonekano wa kiubunifu zaidi na kuvutia mashabiki ili kuongeza faida kwa upande wa mauzo ya jezi hizo.

Timu zingine zinazotengenezewa jezi na nike ni Tottenham hotspurs, Chelsea Fc. Na FC Barcelona ambazo zote jezi zao zikiwa zakuvutia na nzury zaidi kwa ajili ya msimu wa 2017/2018

Maoni