NAO BAYERN WATAKA KUTOA MKOPO

Douglas Costa huenda akajiunga  kwa mkopo klabuni Juventus dau lake linafikiriwa £5M kwa mkopo , na kusajili £35M   kwa usajili wa ujumla

Maoni