MRITHI WA COSTA £70M TU SHARTI KAPEWA KAZI AMALIZE , MAN UNITED YAMCHANGANYA MCHEZAJI WA SPURS , JANUZAJ LA HASHA ANATUA SEHEMU, 2024,2028 LOS ANGELS NA PARIS MJICHAGUE WENYEWE , EVERTON YATUA WABONGO WASHANGAA KWA NINI SIMBA NA YANGA WAJAFANYA YAO?

Chelsea wamepewa ofa ya kumtwa Abubeyang kwa dau la pauni million sabini achana na ofa ya Ac Milan ya kumrudisha na za China ambazo dirisha linafugwa ijumaaa

Los Angeles na Paris wana kazi ya kujichagulia nani aanze kukaribisha michezo ya olmpic Kati ya 2024 na 2028 zote zinataka 2024

Januzaj anatarjiwa kuuzwa kwa Real Socieded amejaribu bahati sehemu nyingi ikiwemo Dortmund na Sunderland kwa mkopo

Eric dier ameonesha nia yake ya kujiunga na klabu ya Manchester united na ofa inaonekana kuboreshwa kwa kiungo huyo anayekipigia Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya uingereza.....spurs waliwapa united Michael Carrick na berbetov

Magazeti kwa kiingereza Back pages zinasema Zaltan ibrahimovic atarejea September kunako Manchester united

Everton imefika jijini Dar es salam salama kwa ajili ya mchezo wa kesho wachezaji 25 pamoja na makocha wamewasili na kupokelewa na mheshimiwa mwakyembe

Maoni