MAGAZINE PART 1:MFARANSA ALYETUA UINGEREZA NDANI YA MISIMU MIWILI KAWA KAMA LIGI KWA UZI WA BLUE;

N'golo kante :alizaliwa machi 29 miaka ya 1991 kwa sasa ana miaka [26 na sku kadhaa] huko Paris ufaransa ,.....ALIANZA WAPI MAISHA YAKE YA SOKA?.........alianza katika klabu ya BOULOGNE na baadaye alitimkia kwa misimu miwili huko Caen .mwaka 2015 alijiunga na klabu ya ligi kuu uingereza alikofaamika kama mshika ligi  .........alivyojiunga na Leicester city kwa ada ya 5.6£M. .......alijipatia umaarufu kwa kuwa mkabaji na kiungo wa ajabu klabuni Leicester city .....alipata kuingia katika historia ya klabu na ligi pale waliponyanyua taji ikiwa chini ya kocha muitaliano Claudio Ranieri La ligi kuu uingereza mbele ya vigogo na bigwa mtetez Chelsea ...msimu wa 2015-16 ......kante alisakwa na kila kigogo nje na ndani ya ligi hiyo ....aliamua kujiunga na Uzi wa blue pale darajani kwa mikandarasi mitano na kocha muitaliano Antonio Conte na bodi ya timu iliamua kumpa heshima kwa kumkabidhi jez aliyovaa kocha wake wa timu ya taifa Didier Deschamps ....namba 7.....aliweza kutwaa tena taji jingine kwa mfumo wa 3-4-3 klabun Chelsea akirudusha ligi pale darajan baada ya msimu mmoja ....kiungo huyo amekuwa akiwidw sokon sana Chelsea alilipa Ada  ya pain 33 milioni .....goli lake La kwanza klabun Chelsea lilikuja pale ushindi wa 4-0 dhid ya united Manchester pia ndan ya msimu wake wa pili alifunga goli pekee kwenye mchezo wa Fa robo fainali dhidh ya Manchester united tena ndan ya dakika ya 52 mafaniko alyopata si kubeba kombe bali kutajwa kwenye kikosi cha msimu .......pia akiwa Leicester alikuwa anangangania mchezaji bora wa ligi lakin mchezaji mwenzake Ryard Mahrez aliweza pata hiyo tuzo ila akiwa Darajani alichukua tuzo hiyo mbele ya hazard,ibrahimovic,Sanchez,Kane ....akiwa katika timu ya taifa kombe la euro 2016 nchini ufaransa aliwez kusaidia timu kufikia fainali licha ya kupoteza kwa goli moja lilofugwa na eder wa ureno.......amekuwa msaada katika upande wa timu ya taifa ..[uchambuzi na barthaprosper]
Ni mchezaji mwenye uwezo wa kuzuia basi na kusaidia katika mfumo wa [counter attack] mashambuliz ya kushitukiza .....
Mfano wa mechi alizoisaidia katika counter attack akiwa Leicester waliposafiri hadi dimbani etihad mwaka 2016 alishika pasi na kumpa ryard mahrez aliyekimbia na kufunga mwenyewe dhidh ya city ushindi wa 3-1...., akiwa darajani mechi katika uwanja wa London alkpokaba pasi ya nobel na kumpa Pedro na hazard walipopata goli dhid ya west ham , ni mchezaji muhimu katika vikos vinavyopenda mashambuz ya kushitukiza ..., pia ni kiungo asyeonesha amechokwa all time is stable ....ni mchezaji wa kiwango cha dunia kwa ukabaji Ana block Ana dual Ana won ni furahaa kumpata kiungo  alye na vitu vyote haoneshi uchovu si mwenye hasira..............
      
Kwa wachezaji wenye uwezo kam ngolo kante ni wachache mno huenda ni vigumu kumpata ata.......

Maoni