Manchester city wamerejea kambini Manchester city football academy camera za checkupblittz zilimekamata picha mbalimbali wakati wachezaji wakiwa wanarejea kambini katika kikosi hicho kelechi iheanacho alikuwemo na Sergio Aquero pia alikuwepo kikosi kilichowasili
Maoni