MAMBO SASA YAPENDEZA ; CHELSEA YAANDAA 90£M KWA BELOTI, NAIGLOLAN KUBAKI ROMA ,ROONEY KURUD ZAKE NYUMBANI ;
Sasa Chelsea imeacha kuzozana na klabu ya Manchester united ripoti imefichuka Chelsea kajipanga kwa pauni milion 90 kumleta mshambuliaji wa Torino darajani na mshambuliaji huyo alikuwa na msimu mzur katika Serie A pamoja na timu ya taifa ya Italia........ ; director wa michezo wa Roma kakiri kusema Radja Naiglolan atasalia kuchezea Roma msimu ujao ....., Wayne Rooney ameonekana uwanja wa mazoezi wa Everton inakubaliana huenda akala zile zile alizokuwa anazingata Kule united usajili wake umesemekana utafanyika weakendi hii au jumatatu ....kutokana na vyanzo mbali mbali....
Usajili na Barthaprosper
Maoni