MAGAZINE PART 2:Bundesliga msimu wa 2016-17

Karibu katika makala maalum ya bundeslig msimu uliopita ikiwa ni mwendelezo wa jarida la msimu .....
Bayern Munich iliyokuwa bigwa mtetezi ilikuwa chini ya kocha muitalino Carlo anceloti  klabu hoi ilipata kutetea taji lake na kufikisha mataji matano kwa mfulilizo na walikuwa na msimu mzuri kuanzia ulinzi Kati na ushambuliaji walihamasisha Sana Soka La ujerumani , ligi hiyo ilikuwa na maajabu kwan nlipata mda wa kuisogelea karibu na kuifaitilia ......mechi nyingi zilikuwa zinakosha mioyo ya wengi na kufanya watu wazidi kuifuatili ligi hiyo ya ujerumani ....tuliona klabu mpya ya Rp leipzg iliyoanza mwaka 2009 katika ubora wa ajabu  klabu ilinolewa na kocha Ralph Hasanhuttl  klabu hii ilikuwa na kijana mjerumani Timo Werner akifunga magoli 21 kiungo Naby keita waliotia maajabu ya kikosi katika ligi hiyo , klabu hii inasubriwa na wengi katika msimu wake wa pili na inaonekana ni timu itakayochukua mafanikio makubwa katika siku za usoni ....tulipata kuona klabu ya sc Freiburg ikionesha kiwango cha kuridisha lich ya kutofanikiwa kufuzu ligi ya ulaya

klabu Ya TSG 1899 Hoffenham klabu hii ilianzisha tarehe 1 july 1899 klabu ilimchukua kocha Julian Nangalism kijana mdogo katika historia ya ligi hiyo kwa wadifa wake aliweza kuiwezesha klabu kufuzu ligi ya mabigwa ulaya kocha huyo alizaliwa 23 july 1987 aliongoza timu kufunga bayern na kutoka sare  ni kijana aliyetamanisha mioyo mingi kuanza kuamini makocha wadogo na kuwapa hamasa katika soka 

Klabu nyingine ni Dortmund Thomas tuchel alyetumuliwa msimu baada ya kuisha alishinda kombe la DFK pokal  na kuingoza timu katika ligi ya ujeruman na kufunzu kucheza mabigwa msimu ujao pia aliishia robo fainali katika mabigwa msimu uliopitiwa ...Thomas Tuchel hakufukuzwa kuhusu timu performance alifukuzwa kisa kuzozana na wakugurugenzi wa klabu  na wachezaji vijana kama kina perisc na dembele na abubeyang

Werden Bremen ni klabu nyingine inayoshiriki ligi hiyo ilianza msimu vizuri licha ya performance ya time kupotea katikati ya ligi hadi kuwa katika hatar ya kushuka daraja chini ya kocha Victor skriphilk alijitahidi kuirudisha timu na kurudi hadi kukaribia kufunzu kucheza Europa ligi ..timu imesalia na inajiandaa kutimua vumbi august baadaye
Klabu nyingine Humburg  ilinolewa na makocha wawili ndani ya msimu ulioisha na kuepuka playoff ya kushuka daraja baada ya ushindi wa mechi ya mwisho kwa goli 2 kwa 1 dhid ya Wolfsburg kocha alyenoa ni pamoja na Bruno na alyeisaidia kusalia Markus Gisdol ... Hamburg inaonekana kujiandaa vizuri msimu ujao chini ya Markus
Klabu ya Bayer levekusen  ilidhaniwa ingeonesha kiwango kama kilichoonesha misimu iliyopita ila mambo yalienda kombo  walikuwa ligi ya mabigwa waliishia raund ya 16 kutolewa na atletico Madrid kwa mabao 4 kwa 2 Toyfan korkat alijitahidi sana kuiendea kuibakisha klabu katika mashindano ya ulaya ila haikufua dafu na taarifa zinaeleza kuwa aliachan na klabu mwisho wa msimu
Klabu ya schalke 04 ilikuwa Europa na kuishia katika robo fainali klabu hii inarekod ya kutumia makocha wengi kuanzia 2009 klabu iliepuka rungu la kushuka daraja sasa msimu ujao watatumia kocha Domingo waliyemtangaz  ...schalke wana imani makocha ndo wanaleta mafanikio na klas jun huntelar aliamua  kuondoka klabumi na kurudi ajax  klabu nyingine ni Frankfurt ilifanya vizuri mwanzoni na kutokomea ilipata kucheza fainali ya kombe la ujerumani na kupoteza fainali dhidhi ya Dortmund klabu ya Augsburg baada ya kumtimua kocha  na kunolewa na Manel Baum na iliepuka lile panga la kushuka  Vfl Wolfsburg klabu hii ilipiga bei kiungo wa pembeni Julian Draxler kwa PSG na kufankiwa kuwanasa viungo yunusi Mali na ntep ambao walishidwa kuziba pengo na kuona kutimuliwa kwa kocha kabda ya kuletwa kwa Adries Jonkier na kushidwa  kuepusha klabu kucheza playoffs na kuweza kusalia . klabu ya monchengdbach bado ilikuwa na msimu mbaya na kocha kufukuzwa na kuletwa kwa Torsten Arings  alyeiwezesha klabu kusalia na kutishia kufuzu michezo ya ulaya licha ya kukosa nafasi .......

Makala hii inaanza kukumbusha michezo iliyokuwa na raha inakubidi au inakutaarifu kuuirudia hii michezo 2016-17
•namba 4- DORTMUND VC BAYERN [1-0] ...PIERE ABUBEYANG ....SIGNUAL IDUNA PARK
•namba 3-BAYERN VC DORTMUND [4-1] .....ALIANZ ARENA
•namba 2- BAYERN VC LEIPZG [3-0]..... ALIANZ ARENA
•namba 1-LEIPZG VC BAYERN [4-5]
....RED BULL ARENA 

LIGI HII ILIKUWA NA HAMASA NA RAHA SANA ......makala hii imeandaliwa na barthaprosper

Maoni