LUKAKU SASA KIZINGAMTI CHELSEA NA UNITED USO KWA USO SASA ?....Sasa Ofa ya costa babu kubwa kajipange.....

Lukaku awa neno jipya mjini baada ya united kutoa ofa ya pauni milioni 75 wakala mino raiola anafosi kiwe kisiwe lukaku acheze united msimu ujao ila lukaku ana ridia zaidi kujiunga na klabu ya Chelsea , Chelsea nao wametoa ofa ya pauni million 75 kama united
Mino Raiola ana uhakika wa kula paun million 10 kama lukaku akitimkia old Trafford ila anajua uchungu na ubunifu wa mchaga alio nao Roman  awezi mpa pesa ndefu kiasi hicho ....ila lukaku Mawazo yake yote anawazia kuhusu kujiunga na Chelsea ya london zaidi ya united ya Manchester ata hivyo tunasubria ofa itakayotolewa kwa lukaku......lukaku amekuwa anawidwa zaid tangia alipouzwa Everton kwa paun million 24 kutokea Chelsea , .........ni zamu ya lukaku kuchagua  timu moja united wana moyo sana


Atletico Madrid huenda ikasusia kumrudisha tena mchezaj wa zamani  wa klabu hiyo Diego costa baada ya Chelsea kutaka dau la paun milioni 60 ili kumruhusu Diego costa alikiri kuambiwa na kocha wake wa Chelsea kuwa ayuko kwenye malengo yake ya msimu ujao kwa njia ya massage .......[uchambuzi]....barthaprosper

Maoni