Manchester united imeripoti kukubaliana na Everton kuhusu usajili wa Romelu Lukaku achana na habari pia Chelsea alitoa ofa na kuonekana sakata lilifika patamu ila mchezaji Romelu aliripotiwa kutaka zaidi Chelsea ......ila kuna uwezakano mkubwa mchezaji anaaminika atakuwa na vipimo vya afya mda wowote kuanzia sasa aliuzwa na kocha Jose mourhino kwa pain 24 million sasa inabid amrudishe kwa rekod ya kuuza katika klabu ya Everton kwa dau la 75 paun milioni
Maoni