Romelu lukaku kashatambuliwa kama mchezaji wa Manchester united inasemekana atajiunga na klabu leo hii itakapotua Los Angeles amefanyiwa vipimo vya afya huko Los Angeles baaada ya hapo alisema amefurahishwa kujiunga na klabu hiyo 'nani anaweza akasema hapana katika klabu kubwa ulimwenguni' Romelu lukaku....,
Maoni