Kiungo Alex -Oxalender chermbelain
Mazungumzo yake na klabu ya Arsenal yavunjika kuhusu mkataba mpya raia huyo wa uingereza anawidwa kwa uvumbi kunako Liverpool ,Man city na Chelsea sasa tunasubiria atajiunga wapi kiungo huyo Swali la kujiuliza atajiunga wapi siku za mbeleni ?
Maoni