JAMES RODRIGUEZ NJE KATUA BAYERN SASA

Klabu ya Real Madrid imemtoa kwa mkopo kiungo James Rodriguez kwa Bayern munich ni kwa Mara ya kwanza kwa mchezaji mkubwa kama huyo kutolewa kwa mkopo alinunuliwa na Real Madrid kwa Ada ya 63£ M  mashabiki wa Chelsea wataacha kumuulizia kiungo huyu wa kimatifa wa Colombia mkopo huo wa mikandarsi miwili

Maoni