Marc Fabian mchezaji wa mexco ametunikiwa tuzo ya goli bora la mashindano ya kombe la shirikisho tuzo inayofahamika kama HYUDRAI goli alilofunga dhidhi ya ujerumani katika kipigo cha 4 kwa 1 alifunga goli lakufutia machozi kwa wamexico ndo limempa tuzo
Maoni