EVERTON YAWINDA KUNAKO C.PALACE

Taarifa zinaeleza klabu ya Everton ina mfuatilia kwa karibu Christian Benteke ili kumrejesha katika jiji la Liverpool .........mchezaji huyo alyeuzwa na Liverpool kunako crystal palace amekuwa na msimu mzuri sana  kwa wakali hao wa selhust park Everton imezid kuripotiwa kutaka kusajili zaidi ya wachezaji watatu baada ya kumrudisha Wayne Rooney

Maoni