EVERTON BADO WATATU,SPATELLI KUAMUA AZIMA YA PERISC,DEMBELE AWIDWA KONA MBALI MBALI

Kuna ripoti zimefuchika zinaeleza kwamba Everton wajatosheka baada ya usajili wa mshambuliaji Wayne Rooney na badala yake wana wachezaji watatu katika radha za usajili dirisha hili kabda ya kufugwa taarifa ya kushutikiza inaeleza kwamba Olivier Girood kajiunga na Arsenal Jana waliposafiri
Everton inatarajiwa kuanza ziara yake barani Afrika katika ukanda wa mashariki nchini Tanzania wiki hii
Unadhani wachezaji hao watatu ni kina nani? Everton inaonesha ipo kwenye mipango ya ligi au top 4, ' nmerejea klabuni najiskia ni mda mwafaka wa klabu kusonga mbele na mafanikio ' maneno ya wayne Rooney  ....uchambuzi ; kumsajili mtu kama Rooney si kwa kiwango ni kuwapa wachezaji vijana kina lookman Davies ,sadro ,klassen,Pickford ,gana, na wengineo uzoefu kwenye vyumba kama John Terry ivyofanya Chelsea msimu uliopita  mazoezini ata zile mechi ngumu ....timu kama Tottenham inalack watu wa experience si rahisi kushinda ligi au taji lolote mpira unabidi uwe na wachezaji wa experience ,................
Rooney katika miaka 13 united alifunga goli 253....zaidi ya mchezaji yoyote .......,
Inter Milan kocha anakutana na Manchester united kujadili nini anachokihitaji kutoka kwa Ivan Perisc .....MARSEILLE inampango wa kumsajili mshambuliaji wa Celtic alyefung magoli 32 msimu uliopita inaaminika kwamba Chelsea anafikiria na west ham wanamtaka,

Maoni