Klabu ya Dortmund imeanza vibaya kwa kupoteza mchezo wao wa kwanza kwa mabao matatu kwa mawili chini ya Peter Bosc ,klabu ya Ac Milan imeshinda mabao manne kwa sifuri katika mechi yao ya kwanza ya maandalizi ya msimu chini ya kocha Voncelo Mottello , klabu ya Burnley imefanikiwa kumrejesha tena Jark Cork kutoka Swansea city kwa hela zijatajwa ila huenda ikafikia pauni kumi milioni
Maoni