Diego Costa ataka kuendelea kuitumikia chelsea . Klabu ya Chelsea ina endelea kuongelea kuhusu uhamisho wake wa kurejea Atletico Madrid , Conte anahamini kwamba Costa ameisha kabisa kuitumika klabu ya Chelsea ni njia yake ya kumaliza career yake kuitumikia Chelsea ....ina maana wameshibana ina leta sitofahamu kabisa Kati ya Costa na Conte
Maoni