CHELSEA WAENDELEA KUNUFAISHA VILABU KWA KUGAWA WACHEZAJI KWA MKOPO

Mabigwa wa uingereza wameendelea na falisafa ya Kutoa kwa mkopo wachezaji wake vijana  leo wamemtoa kwa mkopo  OLA AINA  kwenda Hull city na inaaminika huenda Ruben Lotfus-Cheak anafanyiwa vipimo kwa mkopo huko crystal palace  si tuu hao Bali kuna uwezekano wa wengine licha ya kuuzwa kwa solanke na ake na begovic na kuwatoa kwa mkopo Abraham na wengineo wengi klabu ya Chelsea ina zao la vipaji vinvyowidwa ulaya

Maoni