Chelsea imekamalisha usajili wa beki Raia wa ujerumani A.Rudiger akitokea Ac Roma mchezaji huyu alishinda kombe LA shirikisho katika mahojiano amekaririwa akisema 'naangalia mbele kukutana na wachezaji wapya ,Na najivunia kuwa mchezaji wa chelsea' maneno ya Rudiger
Mabigwa hao wa ligi kuu uingereza ni usajili wao wa pill baada ya will calebero 35
Maoni