BREAKS: MCHEZAJI WA MIAKA 20 ULAYA APATWA NA BRAIN DAMAGE KATIKA MAISHA YAKE YOTE, ALIANGUKA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI KLABU YATHIBITISHA

Klabu ya Ajax imethibitisha mchezaji alyepatwa na jeraha juzi jumamosi amepatwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu .Mchezaji huyo ndo kwanza ana miaka 20 tu. Klabu barani ulaya ikiwemo wachezaji baada ya kupata ujumbe huo wa kusikitisha ...Abdelhak nouri ugonjwa huo hauna mwisho inasuburia kama kuna kitu kitafanyika  taarifa hii imetolewa na Ajax football club

Maoni