BREAKS: EVERTON WAPIGWA CHINI WATAKIWA WAONGEZE MPUNGA

Klabu ya Swansea city imepiga chini dau lililotolewa na klabu ya Everton ya kumtaka kiungo wake Gly sigurdson dau lilikuwa  40£M Swansea Wataka 50£M kwa raia huyo wa Iceland

Maoni