Raisi wa Barcelona amekiri kumsubiria kwa hamu akikiri atamsubiria hadi tarehe 31 august na atahakikisha ametua Now camp .PSG wana moyo wa kumzuia kiungo huyo raia wa Italia lakini Barcelona anaonesha kiu kubwa sana ya kumngoa kiungo huyo hasa kupitia raisi wa klabu hiyo Jose Bartomeu............
Maoni