Aston Villa sasa kumuuza Jordan Amavi......, bowler katua everton , Bakayoko bado atatua chelsea .

Katika dirisha la Soka wachambuz akiwamo barthaprosper anatega sikio kujua wapi na kutua na kutemwa......Aston villa imefikia makubaliano ya kumuuza kiungo wake Jordan Amavi katika klabu ya Sevilla ikiwa bado vipimp vya afya huenda mchezaji huyo saa yoyote kutua Hispania kwa ajili ya kukamilisha usajili, Everton yakamilisha kumsajili kiungo Bowler kinda akitokea QPR , inasemekana Chelsea ameshapanga siku ya bakayoko kujiunga nayo Chelsea wamesainisha tu golikipa wa zaman wa city Willy Calebero mwenye miaka 35

Maoni