AONGEZA WINO KUNAKO AC MILAN , BADO YUKO KWENYE KIKOSI HAJAACHWA

Gig Donnaruma ameongeza mkataba wake kwa miaka minne baada ya kukubali kusaini mkataba wa kusalia Raia huyo mwenye miaka 18 tu ashafanya maaajabu ya duniani akiwa golini , Steve Mandanda amerejea klabuni Olympic Marseille kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea selhurst park C.palace ....., Morata amesafiri na kikosi cha Real Madrid huko Los Angeles .......

Maoni