Madrid wamebaki mdomo wazi baada ya kocha wao mpya kupoteza kibarua ikiwa bado masaa 48 dhidi ya mechi kati ya Ureno wakati jana alitangazwa atajiunga na los Blancos akitoka kwenye Kombe la Dunia.
"tumelazimishwa kufanya bila lopetegui"alisema Rubiales "nmeongea na wachezaji na wamesema wako tayari na watafanya kila liwezekanavyo katika kipindi hiki kigumu" na wamekiri watashirikiana na benchi jipya la ufundi"
"Huwezi fanya vitu hivi hii ni taaluma lakini huwezi fanya vitu hivi nmekuja Moscow kwa sababu hii kazi ni hatari sana na ni ukweli lazima tungefanya jambo"
"Siko kuijadili Real Madrid ni kwa nini vitu vimetokea siko hapa kimlaumu mtu"
Inasemekana alikubaki kibarua cha Real Madrid kabda ajawashirikisha chama cha soka cha Hispania.
Hispania wana mchezo mgumu keshokutwa Ijumaa dhidi ya Ureno.
Habari na Prosper Barthalomew.
Maoni