WAAMUZI WAINGEREZA WACHOKWA NA DUNIA YA SOKA

Waamuzi  wanaohudumu katika ligi kuu Uingereza na viunga vyake hawatakuwepo kabisa ata mmoja katika kombe la dunia urusi mwaka huu juni katika majira ya kiangazi.Ni baada ya shirikisho la soka la Dunia FIFA kutomteua ata mmoja wao kwa sababu mbalimbali.

Sababu zinazowafanya hawa waamuzi Waingereza kwa miaka ya hivi karibuni walikuwa wanapewa michezo hiyo mikubwa katika mashindano makubwa kina Mark Clenterburg aliyechezesha fainali ya Euro 2016,FA na ligi ya mabigwa ndani ya msimu mmoja 2015-2016.kabda ya hapo Webb aliyechezesha fainali ya kombe la dunia 2010.
Sababu wanajiamini mpaka wanajikuta wanachezesha nche ya sheria na mipaka yao.

Mark Clenternburg baada ya kustaafu alisema marefa waingereza wanachezesha soka kwa sheria zao wenyewe na wakiwa nje ya ligi kuu wanafanya kinachofanywa na wengine pia alisema katika mchezo aliovuruga yeye kama yeye ni dhidi ya Spurs vc Chelsea haliakikisha spurs hatwai kombe la ligi kuu Uingereza.

Juzi Martin Antinkson ambaye pia alipata ulaji katika michuano ya Ulaya 2016 alishidwa kuumudu mchezo wa utani wa jadi wa Manchester.
Alishidwa kutoa kadi nyekundu kwa Ashley Young kwa rafu mbaya aliomchezea Aquero haya akaushiswa kabisa kuhusu Fernandinho kwa Jesus akaishia kutoa njano.
Licha ya kusifika kwa kujua kuwa handle wachezaji sasa juzi alikuwa nje ya kazi yake kabisa.

Mfano Graig Pawson anachokwa zaidi haswa katika mechi kubwa amna shabiki wa Liverpool anayempenda alitumia VAR dhidi ya West Brom FA mechi ilicheza takribani dakika 50 kipindi cha kwanza.
Akachezesha Merseyside derby decemba mwaka jana alichokifanya ni kutoa penati ambayo Klopp alisema si penati.

Katika ushindi wa Manchester united wa 2-1 dhidi ya Liverpool mwamuzi huyu alikataa penati nne kipindi cha pili za Liverpool.

Dunia ya soka imewachoka waamuzi hawa wanaweza ata kukupa taji usilostaili wakiamua kwa sharia za vichwani mwao.

Uchambuzi :Prosper Bartholomew.
simu :+255716243875.
barua pepe: barthaprosper@gmail.com.

Maoni