COURTOUS KUREJEA MAZUNGUMZO, EVRA KARUDI LIGI KUU UINGEREZA.

Mlinda mlango namba moja wa Chelsea Thibout Courtous yupo tayari kuanza mazungumzo ya mkataba mpya klabuni hapo raia huyu wa ubeligiji alionekana kuwa na hamu ya kurejea jijini Madrid wakati walipocheza dhidi ya klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid katika ligi ya mabigwa ulaya
"Tumekubaliana kukutana tena februali kwa sababu klabu ilikuwa na kazi kuwa ya kufanya januari " na tuna maongezi ya kibinafsi zaidi "
Aliyerejea klabuni hapo mwaka 2014.amna haraka na mkataba hapa mpaka 2019.


Patrice Evra amerejea ligi kuu Uingereza klabuni West Ham na atakuwa anavaa jezi namba 27 chini ya kocha wake wa zamani wa Manchester united David Moyes akiwa na miaka 36 anatarajiwa kurejea uwanjani tangu alivyopewa azabu baada ya kumpiga shabiki dhidi ya Victoria katika mchezo wa europa.

Makala na Prosper Bartholomew.
baruapepe:barthaprosper@gmail.com

Maoni