kocha wa klabu ya Watford Marco Silva amewaka baada ya kocha wa Everton kusema Silva amzidi kwa chochote kwani aliishusha Hull city msimu uliopita.
klabu ya Everton ilitamani kumtangaza Silva kama kocha kabda ya kushidwa na kumtangaza Ex-England maneja Sam Allarydse.
Silva ana amini ni bora zaidi ya Sam maana ana miaka 40 na Sam ana miaka 63 anasema Sam hana rekodi nzuri wakati alipokuwa 40 anataka kocha huyo wa zamani wa Olmpiakos " nenda na kaone alichokifanya akiwa na miaka 40 na mimi nikiwa na miaka 40 na alichokifanya katika miaka 7 yake ya mwanzo " Marco Silva aliongeza
"nimesoma alichokisema lakini hakileti maana" kocha wa zamani wa Sporting anaongeza alichukua ligi na klabu hiyo
kocha Sam alianza kocha kama kocha mchezaji katika klabu ya Limerick mnamo mwaka 1991 na kuipeleka mpaka ligi kuu Ireland ya kaskazini akiwa na miaka 36 alipewa kwa mda klabu ya Preston kabda ya kufikisha miaka 40 na kupewa Blackpool.
Maoni