Kocha wa klabu ya Manchester city ametunikiwa tuzo ya kocha bora wa mwenzi novemba ,kukumilisha ukusanaji wa tuzo hiyo mara tatu mfululizo akiipotezea mbali rekodi ya Hasimu wake Antonio Conte aliyefanya hivyo msimu uliopopita.
Kocha huyu raia wa hispaniola ametwaa tuzo hiyo baada ya kuongoa klabu yake kushinda michezo yote na kuweka rekodi ya kushinda michezo 15 mfululizo .
Pia aliongoza klabu yake kushinda dhidi ya hasimu wake Jose Mourhino
Tuzo hii inaitwa Barclay's manager of month hutolewa kwa kocha aliyeongoza vyema timu yake ndani ya mwezi husika
Maoni