Chelsea wanampa ofa mlinda mlango wao Thibaut Courtous ya kuwa golikipa anayelipwa ghali sana duniani ambapo inashikiliwa na David Degea mbeligiji huyu atapokea pauni 200,000 na bonusi nyingi kumpiku Degea.
Thibaout Courtous ana tamaa ya kurejea Hispania baada ya kuwa na watoto wawili wanaohishi hispania amekuwa anawidwa sana na los blacos alikaa Hispania miaka mitatu kwa mkopo kwa Rojiblancos ama los indios akiwapa taji la ligi na kufikisha fainali ya ligi ya mabigwa ulaya .
Huenda tamaa hiyo imekatwa na Real Madrid kumfukuzia kwa karibu golikipa wa Bilbao Kepa Arrziballaga na kumtaka hatue Januari hii wakati huo Chelsea wanataka awe amesaini kabda ya mwaka mpya ama iwe ndani ya dirisha hili la majira ya baridi wakati huo Courtous alitaka sana mazungumzo yawe katika majira ya kiangazi.
Chelsea wanataka kumfukuzia Jack Butland wa Stoke city kama mbadala wake .
Mbeligiumu huyu anayelipwa pauni 100,000 kwa wiki ana miaka 25 ana mkataba wa mwaka mmoja kuisha klabuni Chelsea minongono ilianza pale alivyokataa dili lipya mwezi mei mwaka huu.
Kocha Antonie Conte kasema Chelsea wahakikishe wanambakisha maana wanakosa ama kupoteza golikipa wa dunia .
makala na Prosper Barthalomew
simu:/+255717243875
Barua pepe:/ barthaprosper@gmail.com
Maoni