LIGI KUU UINGEREZA:STERLING AENDELEZA UCHAWI ,ROONEY AFANYA MAAJABU, ARSENAL YAOGELEA ,CHELESEA YAPATA USHINDI, SALAH AFANYA TENA 17 SASA.
Leo kulikuwa na michezo sita katika ligi kuu uingereza kukamilisha mzunguko au raundi ya 14. ARSENAL VC HUDDERSFIELD . Arsenal alishinds mabao 5 kwa sifuri huku lacazette,Sanchez, Girood,Ozil na Kolasinic wakionekana kwenye ubao
STOKE CITY VC LIVERPOOL Liverpool ineshinda kwa mabao matatu kwa sifuri goli la kwanza ni pasi safi ya Solanke kumfikia Sadio mane alyefunga ikiwa mara ya mwisho kufunga ligi kuu uingereza ikikuwa mwezi wa nane . Mohammed salah amefikisha magoli 17 katika jezi ya Liverpool ata nusu msimu ujafika alianzia benchi kabda ya kupata mda na kufunga mabao mawili kwa dakika 5 tu.
EVERTON VC WEST HAM UNITED .kabda ya Sam Allarydes kuanza kazi ameshuudia ushindi mnono ukiiebsea klabu yake ya zamani ya west ham Wayne Rooney alishidwa kufunga kwa penati na kumalizia iliporudishwa haikuchukua muda Rooney kufanya iwe 2-0, mwabzo was kipindi cha pili alifunga goli la umbali mrefu kuhakikisha anaondoka na mpira wake na ni hatrick yake ya tisa na ya kwanza tangu 2011. Sigurrson kona ilikuwa pasi ya bao kwa Williams David Unsworth anatarajiwa kurejea kesho U 23_ na amefurahia alichoweza kukiona. Moyes ana cha kufanya lanzini alikosa penati waksti Everton alikuwa 2-0
MAN CITY VC SOUTHAMPTON. ilikuwa suluhu ya 1-1 Ila kijana mchawi Reherm Sterling alifunga goli la ushindi dakika ya 90+6 na zilikuwa zineongezwa 90+5 . waliofunga mengine Van dijk na Romeu
CHELSEA VC SWANSEA. Kichwa cha Antony Rudiger ndo kimezigawanya pande hizi mbili goli hilo likifufwa dakiks ya 55 .
BOURNEMOUTH VC BUNRLEY : criss wood aligonga mwamba kabda ya kwake ajatanguliza goli .
, Pasi kutokea kwa Robbie Brady na mwenyewe alikuja kufunga na walipata cha kufutia machozi hadi kutokea kwa Defoe na kumpa king alyefunga
sasa kikosi cha Pep Guardiola kitaifikia rekodi ya Chelsea endapo watashinda michezo miwiki ijayo n kufikisha michezo 13 amna alpitusha rekodi hivyo
Maoni