LACAZETTE KUIKOSA UNITED JUMAMOSI HII

Mshambuliaji wa  Arsenal Alexander lacazzette ataukosa mchezo dhidi ya Manchester united jumamosi hii dimbani Emirates . Raia huyo wa Ufaransa alifunga goli katika mchezo dhisi ya Huddersfield na kutorejea uwanhani kipindi cha pili anekumbwa na tatizo la groin. Mshambuliaji huyu ashaanza kuonesha makali yake akiziteza timu mbalimbali kwenye ligi hiyo ya uingereza kwa kupachika mabao yanayoipa Arsenal ushindi

Maoni