SADIO MANE KAPATA CHA KUANZA

Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane ameshinda tuzo ya EA SPORTS mchezaji bora wa mwezi ameisaidia Liverpool kushika nafasi ya pili na amefunga goli kila mechi aliyocheza pia amehusika katika magoli mbalimbali ambayo Liverpool kashinda

Maoni