Kocha Roberto Mancini huenda akawa kocha wa west ham baada ya ripoti kufichuka zikisema west ham united wanamuhitaji kocha huyo ambaye kocha wa sasa slaven Billic kayumba yumba na amefugwa magoli 10 mechi 3 na kufunga mawili tu : ila kocha huyo wa zamani wa man city na interzionale anafikiria tu kazi ya kuionoa Arsenal kichwani mwake hasa kipindi hiki ambacho kocha Wenger anayumba kutafuta kusalia Arsenal
Diego Costa kaachwa nje ya kikosi cha Chelsea kitashoriki michezo ya ligi ya mabigwa ulaya .....
Maoni