Kiungo mkogwe wa Barcelona Adrea Iniesta amekataa kusema ukweli juu ya hatima yake ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo alipoulizwa alisema "nkiamua kuondoka ama la hapa ni nyumbani" kiungo huyo amehushwa kuhama klabuni hapo na klabu hiyo ikisaka na kuhaha kumtafuta atakayeziba pengo lake
Maoni