Saudia Arabia amefanikiwa kufuzu kombe la dunia Russia 2018 baada ya ushindi wa bao 1 kwa 0 dhidi ya japani ndo Mara yao kufunzu tangia mwaka 2006 , pia Marino lemina mchezaji wa Southampton kafunga goli la ushindi kujiweka katika nafasi nzuri ya kuelekea urusi katika ushindi wa bao 2 kwa 1 dhidi ya ivory coast
Maoni