Mshambuliaji raia wa Garbon Piere Emerican-Abubeyang amefunga klabu 17 kati ya 18 klabu aliyokuwa ajai ifunga ni FC koln lakini leo kawafunga mara mbili katika ushindi wa 5-0.klabu hiyo hajaifunga bado hajawai cheza dhidi yake katika bundesliga inajulikana kama Borusia Dortmund ...
Maoni