Kiungo kinda wa Chelsea na mshinda mataji mawili ya ligi Ruben lotfus cheak ametolewa kwa mkopo kunako klabuni crystal palace .......
PSG wako tayari kumpa Dan alves mshaara wa 240,000 pauni kwa wiki huku city wanataka wampe 150,000 huyu kijana wa miaka 34 na beki wa zamani wa Juventus na Barcelona
Zltan ibrahimovic bado chake hakieleweki kama atarejea united mwezi wa 9 au marekani atajiung
Douglas Costa tengia Jana usiku alkuwa Turin Leo anakaribia kusaini mkataba wa mkopo katika kikosi hicho cha Juventus akitokea Munich
Maoni