SASA LAZMA ATUE CHELSEA HII SI YA KAMA LUKAKU TENA , DAN ALVES AUNGAMA .ARSENAL KICHWA CHA HABARI MITANDAONI
Chelsea imethibitisha kuwa na makubalino baina yao na Monaco kuhusu T.Bakayoko dau walokubaliana ni £40+ na nyongeza nyingine vipimo vya afya ni kesho au ata Leo .
Brighton and hove albinion wamekubaliana na kumsajili mchezaji wa Ingsodant 04 ya ujerumani Markus suttner kwa kandaeasi ya miaka mitatu
Dan alves amemuomba samaani kocha pep Guardiola akisema ningebidi kuchagua city kuliko PSG
Arsenal wanatajwa Sana kwa wachezaji Thomas Lamar , Ryard Mahrez na kuhuzwa kwa Olivier Girood.
...unadhani kutakuwa na jipya ..makala na barthaprosper
Maoni